Sasha Obama ndani ya White
House
06/09/2009

Sasha Obama (8) akimnyemelea baba yake
nyuma ya sofa ndani ya Oval Office wakati rais Barack Obama akiwa kazini.
Lakini baadaye rais akaja kujua kama mtoto wake anamnyemelea na kama
kawaida baba yoyote yule 'family comes first'.

Na hii ni picha ya Kennedy Jr. alipokuwa
katika ofisi ya baba yake Oval Office ya White House, Washington,
Marekani.
|