Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Iftar ya Watanzania UAE

07/09/2009

Consul General wa Tanzania katika Dubai na Emirate za Kaskazini Bw. Ali Ahmed Saleh akiwa na baadhi ya waliohudhuria wakiwa katika kufuturu ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhan 1430 AH.

Pichani ni baadhi ya Watanzania waliohudhuria katika muwaliko wa Iftar wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Consul General wa Tanzania katika Dubai na Emirate za Kaskazini Bw. Ali Ahmed Saleh wa pili kulia akiwa pamoja baadhi ya Masheikh waliohudhuria Iftar. Sheikh Muhidin Abdulraham wa kwanza kushoto, Sharif Hussein Badawi wa pili kushoto na Sheikh Twalib wa kwanza kulia ambaye ni Imam wa Msikiti Maamur uliopo Upanga Dar es Salaam. Ramadhan Kareem.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©