Vodacom yafuturisha
Zanzibar
08/09/2009

Mama
Shadya Karume akikaribishwa hoteli ya Bwawani na Mkuu wa Vodacom
Foundation Mwamvita Makamba (wa pili kulia) na Afisa Habari wa Vodacom
Foundation Mwami kwenye iftar maalumu kwa watoto Zanzibar.

Vijana
wa Kiislam wakionekana wakiwasili katika mualiko wa iftar
iliyotayarishwa na Vodacom.

Mama
Shadya akikabidhi misada hiyo kwa wahusika.

Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo wa Zanzibar Mh. Mahmoud Thabit
Kombo akifutari na maofisa wa Vodacom kwenye iftar hiyo iliyofanyika
Zanzibar.
|