Waziri kiongozi afuturisha
09/09/2009

Waalikwa mbalimbali
wakiftari nyumbani kwa waziri Kiongozi wa Zanzibar Mh. Shamsi Vuai
Nahodha nyumbani kwake Oysterbay, Dar es Salaam.

Waziri Kiongozi wa
Zanzibar Mh. Shamsi Vuai Nahodha, akiwaaga wageni aliowaalika futari
nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam.
|