Tope Mtaa wa Kongo
11/09/2009

Uchafu uliotolewa katika mfereji wa mtaa
wa Kongo na Mchikichi jijini Dar es Salaam ukiwa umerundikana na kutoa
harufu mbaya kwa siku tatu kama uonekanavyo pichani. Wafanyabiashara wa
eneo hilo wanalalamikia wafanyakazi wa Halmashauri kwa kushindwa kuzoa
takataka hizo licha ya kulipia Tsh 10,000 kila mwezi.
|