Mashindano ya Qur'an Dar
es Salaam
14/09/2009

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea
zawadi ya nakala za misahafu kutoka kwa Dk. Abdel–Baqi (kushoto) wakati
wa mashindano ya kuhifadhi Qur’an tukufu yaliyofanyika katika Hoteli ya
Movenpick jijini Dar es Salaam.

Mashindano hayo yaliandaliwa na ubalozi wa
Misri kupitia kituo chake cha utamaduni kiitwacho Egyptian Islamic
Center na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) mkoa wa Dar es
Salaam. Kulia ni Waziri wa Fedha na Uchumi bwana Mustafa Mkullo.
|