Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Vodacom Foundation yafuturisha Bukoba

15/09/2009

Baadhi ya watoto yatima wa Bukoba Mjini, wakila futari iliyoandaliwa na Vodacom Foundation mjini humo katika mwezi mtukufu wa Ramadhan. Katika hafla hiyo kitengo hicho cha misaada cha Vodacom kilikabidhi pia aina nyingine za misaada ya kibinadamu kwa watoto yatima.

Baadhi ya watoto yatima wa mjini Bukoba, wakila futari iliyoandaliwa na Vodacom Foundation mjini humo katika mwezi mtukufu wa Ramadhan. Katika hafla hiyo Vodacom pia ilikabidhi misaada mingine ya kibinadamu kwa watoto yatima.

Mmoja wa wafanyakazi wa Vodacom mjini Bukoba akisaidia kugawa futari kwa baadhi ya watoto yatima wa Bukoba Mjini iliyotolewa na Vodacom Foundation mjini humo hivi karibuni.

Watoto wa madrasa kati ya madrasa zilizopo mjini Bukoba wakiomba dua katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Vodacom Foundation mjini humo katika mwezi mtukufu wa Ramadhan.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©