Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Mchango wa ZAIN katika mwezi mtukufu wa Ramadhan Zanzibar

16/09/2009

Waziri wa Kazi, Vijana, Maendeleo ya Wanawake na Watoto Zanzibar, Asha Abdallah Juma, akimkabidhi gunia la mchele Talib Machano baada ya Madrasa yao ya Nuria kuibuka mshindi katika shindano la kuhifadhi Qur'an. Hafla hiyo iliyodhaminiwa na Zain Tanzania ilifanyika Hoteli ya Bwawani Zanzibar ambapo Zain pia ilifuturisha watoto yatima. Katikati ni Mratibu wa Zain wa Kuendeleza Biashara Zanzibar, Dominick Coy na kulia ni Mkurugenzi wa Chuchu Radio, Yusuph Chuchu.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©