Rais Karume afuturisha
Zanzibar
17/09/2009

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk. Al-hajj Amani Abeid Karume (wapili kushoto) akiwa ni
mwenyeji mualika katika futari aliyowaandalia wananchi wa Mikoa 3 ya
Unguja katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Shadya Karume
(katikati) akiwa katika futari ya wananchi wa Mikoa 3 ya Unguja
iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar Al-hajj Amani Abeid Karume, katika
viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
|