Baraza la Eid - Zanzibar
21/09/2009

Pichani Waislam waliohudhuria baraza la
Eid mjini Zanzibar iliyofanyika katika ukumbi wa nyumba ya Wananchi,
Forodhani.

Pichani Waislam waliohudhuria baraza la
Eid mjini Zanzibar iliyofanyika katika ukumbi wa nyumba ya Wananchi,
Forodhani.

Ustadh akisoma Qur'an katika baraza la Eid
ndani ya jumba la Wananchi Forodhani katika siku ya sherehe za Eid
ambayo imesheherekewa na Waislam wote duniani.

Waislam waliohudhuria baraza la Eid mjini
Zanzibar iliyofanyika katika ukumbi wa nyumba ya Wananchi, Forodhani.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi, Al-Hajj, Dk. Amani Abeid Karume alikuwa ni mgeni wa
heshima katika baraza la Eid, viwanja vya jumba la Wananchi, Forodhani.

Jeshi la FFU pia lilijumuika katika
sherehe za sikukuu za Eid katika jumba la Wananchi, Forodhani, Zanzibar.

Mgeni wa heshima Al-Hajj Amani Abeid
Karume akihutubia baraza la Eid katika ukumbi wa jumba la Wananchi,
Forodhani, Zanzibar.

Mama Shadya Karume akitoa zawadi za Eid
kwa watoto yatima katika sherehe za Eid zilizofanyika jumba la Wananchi,
Forodhani, Zanzibar.

Baadhi ya watoto yatima wakionekana
pichani na bahasha walizopewa kama zawadi ya Eid.
|