Mama Maria Nyerere alonga
na waandishi wa habari
28/09/2009

Mjane wa baba wa Taifa,
Mama Maria Nyerere (Mama wa Taifa) akizungumza na waandishi nyumbani
kwake Msasani, Dar es Salaam, kuhusiana na tuzo aliyoipokea mapema mwezi
huu kutoka kwa Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa mataifa inayotambua
Mchango wa baba wa Taifa, Mwalim Julius Nyerere katika ukombozi wa bara
la Afrika, shoto ni Makongoro Nyerere.
|