Tanzania House yazinduliwa
Washington DC
29/09/2009

Jengo jipya la ubalozi
jijini Washington, Marekani ambalo rais JK amelifungua. Jengo hili
limenunuliwa na serikali ya Tanzania kwa jumla ya dola za kimarekani
$10,415,000.

JK akifunua kitambaa
kufungua rasmi jengo jipya la ubalozi jijini Washington, Marekani.

Rais JK akisaini kitabu
cha wageni katika ofisi ya Balozi iliyopo katika jengo jipya la Ubalozi
wa Tanzania jijini Washington, Marekani. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe na wapili kushoto ni
Balozi wa Tanzania Washington Ombeni Sefue.
|