Dk. Ali Shein azindua
shule ya Sekondari - Morogoro
30/09/2009

Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein,
akifunua pazia kuweka jiwe la msingi majengo ya Shule ya Sekondari Wami
katika kijiji cha Dakawa, Wilayani Mvomero, Morogoro. Dk.Shein
amechangia shilingi milioni tatu katika ujenzi huo. Kulia ni Mkuu wa
Mkoa wa Morogoro, Issa Machibya.
|