Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Mkutano wa Jumuia ya Madola (Commonwealth) Arusha

01/10/2009

Picha ya Pamoja ya Kamati tendaji ya CPA (Commonwealth Parliamentary Association) pamoja na Rais wa Chama hicho Samweli Sitta (pia ni spika wa bunge la Tanzania) wakiwa katika picha ya pamoja na katibu wa Chama cha Mabunge ya jumuiya ya madola Dk. William Shija (wa kwanza kushoto waliosimama). Kamati hiyo inahudhuria mkutano unaoendelea mjini Arusha.

Rais wa Chama cha Mabunge ya jumuiya Ya Madola Samwel Sitta (kulia) akibadilishana mawazo na Spika wa Bunge la India Meira Kumar (kushoto) wakati wa mkutano wa 55 wa CPA unaoendelea mjini Arusha. Wengine ni wajumbe wa mkutano huo kutoka India (katikati).

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©