Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Ujenzi wa barabara ya Mgagadu - Pemba

02/10/2009

Rais wa Zanzibar, Dk. Amani Abeid Karume, akitoa ushauri kwa mkandarasi wa idara ya ujenzi wa barabara, Wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi, Khamis Masoud (kulia) wakati alipokwenda kuona maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Mgagadu, Kiwani, Kusini Pemba. Katikati ni Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi, Machano Otman Said.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©