Arusha na Mazingira
03/10/2009

Mfanyabiashara wa mifagio akipitisha kwa
wateja wake katika mitaa ya jiji la Arusha, jiji ambalo linajitahidi
kuweka na kuzingatia usafi wa mazingira wa jiji. Mazingira hayo ikiwamo
usafi wa barabara za jiji na paking za magari. Ukipaki gari yako bila ya
msimamo maalum, hapo hapo unalipa faini 30,000/= ukipelekwa kituoni
unalipishwa faini ya 50,000/=.
|