Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Mbuyu

04/10/2009

Mbuyu huu umepigwa picha katika mtaa wa Mkungu Malofa, Chakechake, Pemba hivi karibuni.

Unakumbusha wengi na mengi mojawapo ni kwamba Ubuyu kwa sasa umekuwa ni kitu kimojawapo ambacho ni zawadi kubwa ya tunu kupelekewa wanaoishi ughaibuni, nje ya nchi.



Na unapotengenezwa kwa kutiwa rangi nyekundu na pilipili manga hupendwa sana na si akinamama pekee sasa mpaka akinababa na watoto. Nasikia ukiupata unaouzwa Jaws Corner, mjini Unguja ndio the best, (ni kweli ?...)

Wazungu karibuni ndio kwanza wameugundua na ubuyu umetambulika kwamba ni Super fruit maana una Vitamin C nyingi sana kupita chungwa mara tano.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©