Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Kujiandikisha kwa kupiga kura

05/10/2009

Rais Kikwete akijiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa viongozi wa ngazi ya mtaa katika kituo cha Shule ya Msingi Bunge, kilichopo jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mh. Aggrey Mwanri, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh. William Lukuvi, Meya wa Jiji la Dar es Salaam Alhaj Adam Kimbisa na Karani wa kituo hicho.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©