Mama Salma awapa nguvu
wajasiriamali
07/10/2009

Mke wa Rais wa Tanzania, Bi Salma Kikwete
akijaribu kuvaa mapambo ya shanga yaliyotengenezwa na akina mama wa
Kimasia wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wakati wa uzinduzi wa
maonyesho ya wajasiriamali katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es
Salaam.
|