Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Wafanyakazi wa Air Tanzania kupunguzwa

08/10/2009

SHIRIKA la Ndege la Air Tanzania (ATCL) lipo katika hatua za mwisho za kukamilisha mchakato wa kupunguza zaidi ya wafanyakazi wake 100 kwa lengo la kuboresha uendeshaji na huduma zake.

Shirika hilo liko kwenye hali mbaya ya kifedha, sababu ya kupoteza biashara kubwa ya safari za ndege ndani na nje ya nchi baada ya kupokonywa kwa muda hati yake ya usalama angani, huku likielemewa na mzigo wa madeni, gharama za uendeshaji, ikiwa ni pamoja na idadi kubwa ya wafanyakazi.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©