Dk. Shein ajiandikisha
kupiga kura
09/10/2009

Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein,
akijiandikisha kwenye Daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa
Viongozi wa Serikali za Mitaa katika kituo 'A' kilichopo Shule ya Msingi
Oysterbay, Dar es Salaam. Kulia ni Msimamizi wa kituo hicho, Amina
Shilla, katikati Mkewe, Mwanamwema Shein.
|