Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Barabara mpya kutoka Jangwani mpaka Ubungo, Dar es Salaam

11/10/2009

Sehemu ya barabara mpya inayokatiza Jangwani karibu na klabu ya Yanga kupitia Kigogo, Mburahati, Mabibo na hatimaye Ubungo Maziwa ikiwa katika ujenzi mojawapo wa kutanua na kuendeleza miundo mbinu ya usafiri jinini Dar es Salaam.

Pia, barabara hii ambayo inajengwa kwa kiwango cha lami, ni mojawapo ya mikakati ya kupunguza msongamano wa foleni kwenye barabara ya miaka nenda miaka rudi ya Morogoro rodi ambayo magari yote hutumia barabara hiyo kama ndio lango kuu la jiji la Dar es Salaam kutokea na kuelekea mikoani.

Hii pia ni mojawapo ya sehemu ya Jangwani ambayo imekaa tayari kimchoro.

Hapa ni sehemu ya shule ya Loyola ambayo inaonekana tayari ishakuwa tambarare.

Hapa ni sehemu ya Magomeni Mabibo ambayo inaonekana tayari ishakuwa tambarare.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©