Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Usumbufu wa uegeshaji magari (Parking) umezidi

12/10/2009

TATIZO la uegeshaji magari umezidi jijini Dar es Salaam ambalo tatizo hilo na tatizo la wingi wa magari jijini limeishinda kasi ya maendeleo ya kiuchumi ya nchi ikiwa kama Dar es Salaam ndio kitovu cha biashara cha kimataifa. Kila kukicha nchi yetu inaendelea kwa kasi kubwa na hali ya miundo mbinu ya usafiri kulinganisha na ukuaji wa maendeleo ya nchi kiuchumi haulingani; na popote pale palipo na nafasi tupu wenye usafiri inawabidi waegeshe magari yao ili waendelee na kujenga nchi.

Pichani juu ni sehemu Azania Front Cathedral ambayo ipo maeneo ya posta mjini Dar es Salaam ikionekana ikiwa imezungukwa na magari. (Picha na Muhidin Issa Michuzi)

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©