Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Stendi ya mabasi ya zamani

13/10/2009

Kwa wakazi wa mji wa Dar es Salaam na wanaoujua mji wa Dar es Salaam bila ya shaka wataijua sehemu hii iliyopo pichani juu. Hapa ndipo ilipokuwa stendi ya zamani ya mabasi yaendayo kaskazini, mikoani hadi Nairobi na Mombasa, karibu na posta ya mtaa wa Libya, maeneo ya Kisutu jijini Dar es Salaam, kabla ya kituo hicho cha mabasi kuhamia Ubungo.

Ila tangu stendi ihamishwe Ubungo miaka mingi iliyopita, sehemu hiyo imeachwa tu patupu kwani sehemu hiyo ingeweza kujengwa gorofa la kuegeshea magari tu ambalo lingechangia sana kuendesha uchumi wa Dar es Salaam mjini ambapo watu wa kutoka sehemu mbalimbali za jiji na nje wanakuja jijini kiuchumi, kisiasa, kielimu na mengineyo. Kwani sehemu hii ilipo ni karibu na sehemu nyingi za mjini kwa mwendo wa miguu kutoka hapa.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©