![]() |
|
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Kikwete amtembelea Mama Maria Nyerere14/10/2009
Rais JK na Mama Salma Kikwete wakiwa katika mazungumzo na Mama Maria Nyerere nyumbani kwake Butiama wakati wa kilele cha kumbukumbu ya miaka kumi tangu kufariki Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere. Tarehe 14 Oktoba ya kila mwaka ni siku ambayo imeadhimishwa rasmi na serikali kama ni siku ya 'Nyerere Day' ya kumkumbuka Mwalimu Nyerere akiwa kama ni rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa historia fupi ya Mwalimu Nyerere, rejea habari zilizopita za Zenjydar kwa kubonyeza hapa.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||