![]() |
|
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
South Africa 201015/10/2009
Wakati timu za dunia zilizopita kuelekea Afrika ya Kusini mwakani kugombea kombe la dunia, kamati ya maandalizi ya uenyeji ya Afrika ya Kusini wamethibitisha kuwa wako tayari kupokea mashindano hayo nchini kwao na matayarisho ya viwanja vya mashindano hayo yanakwenda na wakati kama ulivyotarajiwa. Baadhi ya picha za viwanja vitakavyochezewa kombe la dunia la mpira wa miguu mwaka 2010 ni kama vifuatavyo.
Soccer City jirani na Soweto, Johannesburg.
Moses Mabhida stadium jijini Durban.
Green Point Stadium huko Cape Town.
Peter Mokaba Stadium maeneo ya Polokwane.
Nelson Mandela Bay stadium uliopo Port Elizabeth.
Mbombela Stadium in Nelspruit. Kwa habari kamili za matayarisho ya mashindano hayo, bonyeza hapa.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||