Mkutano wa mabunge ya
dunia
18/10/2009

Spika wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano Mhe. Samuel Sitta, (kushoto) akihudhuria mkutano wa 121 wa
Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) uliofanyika mjini Geneva, Uswisi, kulia
ni Mhe. Nigel Evans toka Bunge la Uingereza, UK.
|