Kikwete aapisha Maafisa
wapya
19/10/2009

Rais Kikwete akiwa na
Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein na Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda
wakipozi na maafisa waandamizi aliowaapisha Ikulu jijini Dar es Salaam
ambao wako nyuma yao. Toka shoto ni Sethi Kamuhanda (Katibu Mkuu, Wizara
ya Habari, Utamaduni na Michezo), Christopher Sayi (Katibu Mkuu, Wizara
ya Maji na Umwagiliaji), David Kitundu Jairo (Katibu Mkuu, Wizara ya
Nishati na Madini), Jaji Frederick M. Werema (Mwanasheria Mkuu wa
Serikali), Prosper Mbena (Katibu wa Rais), Mbarak M. Abdulwakil (Katibu
Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi), George Masaju kuwa Naibu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambaye kasimama nyuma kabisa. Nyuma Kulia
ni Mh. Peniel Lyimo.
|