![]() |
|
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Wakazi wa Kipawa wapatiwa ufumbuzi20/10/2009
Baadhi ya wakazi wa Kipawa jijini Dar es Salaam, wakielekea eneo la Pugu Mwakanga kuoneshwa viwanja wanavyotakiwa kuhamia mara baada ya kukamilika kwa malipo ya fidia za nyumba zao zinazotaka kubomolewa kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege mpya. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya serikali kukaa chini na kuzungumza kwa kituo na wakazi hao mwanzoni mwaka huu. Kwa habari iliyopita, bonyeza hapa.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||