Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Msikiti wa Mkwajuni kujengwa upya

23/10/2009

MSIKITI wa zamani wa Mkwajuni, Kinondoni, Dar es Salaam, kama unavyoonekana pichani umebomolewa na upo njiani kupisha msikiti mpya kutokana na wadhamini wa msikiti huo. Inasemekana kwama msikiti mpya utakuwa ni wa kisasa na wenye ghorofa si chini ya ghorofa tatu kwenda juu.

Hii ni sehemu ya msikiti wa zamani. Mwenyezi Mungu aujaalie usimame salama, Inshallah.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©