Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Jasper Makame apita kwenye kura za mitaa

25/10/2009

JK akimpongeza Mwenyekiti wa Mtaa wa Kivukoni Bwana Jasper John Makame baada ya kupita bila kupingwa katika uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa na wajumbe wa mitaa. Rais JK na Mama Salma kikwete walijumuika na wakazi wengine wa kivukoni kusikiliza ushindi huo uliotangazwa katika shule ya Msingi Bunge jijini Dar es Salaam.

Rais na Mama Salma Kikwete wakijumuika na wakazi wenzao wa mtaa wa Kivukoni kwenye kituo cha kupigia kura cha Shule ya Msingi Bunge.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©