Umeme wa IPTL kuanza kazi
yake
26/10/2009

Waziri wa Nishati na Madini Wiliam Ngeleja,
akiwa na Kaimu meneja mwendeshaji wa Kampuni ya WARTSILA Gilbert
Ndesamburo (kulia) alipotembelea mitambo ya kuzalisha umeme ya IPTL
Tegeta jijini Dar es Salaam. Mtambo huo unatarajiwa kuanza kuzalisha
umeme mwezi Novemba mosi mwaka 2009 kwenda gridi ya taifa na kupungua
kiasi kikubwa cha mgao wa umeme unaoendelea nchini.

Mafundi wa Kampuni ya Wartsila
inayounganisha mitambo ya kuzalisha umeme kwa gesi ya Songas wakiwa
katika hatua za mwisho za kuunganisha waya za umeme wa Megawati 45
utakao zalishwa hapo katika gridi ya taifa. Mafundi hao wamekutwa wakiwa
kazini wakati Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja alipotembelea
eneo hilo lililoko Tegeta, Dar es Salaam.
|