Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Karume arejea kutoka Ufaransa

27/10/2009

Rais Karume akisalimiana na viongozi wa kijeshi Zanzibar na wa Serikali ya Zanzibar waliofika kumpokea uwanja wa ndege, mara baada ya kuteremka ndege ya British Airways jijini Dar mchana huu wakitokea nchini Ufaransa katika mkutano wa 35 wa Unesco, ambao ulitilia mkazo zaidi masuala ya kukuzwa kwa Elimu nchini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Amani Abeid Karume na mai waifu wake Mama Shadya Karume, mara baada ya kuteremka ndege ya British Airways jijini Dar mchana huu wakitokea nchini Ufaransa katika mkutano wa 35 wa Unesco, ambao ulitilia mkazo zaidi masuala ya kukuzwa kwa Elimu nchini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Serikali ya Mapinduzi, Dk. Amani Abeid Karume akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuwasili kutoka nchini Paris, Ufaransa katika mkutano wa 35 wa Unesco.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©