Mafuta ya IPTL yawasili
nchini Tanzania
28/10/2009

Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu,
Mhandisi Omari Chambo (katikati), Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Ephraim Mgawe (kushoto) pamoja na
Mkurugenzi Msaidizi wa Miundombinu anayeshughulikia Bandari, Sadi
Fungafunga wakitembelea eneo la Bandari ya Dar es Salaam baada ya
kukagua meli iliyoleta mafuta kwa ajili ya kuwashia mitambo ya umeme ya
kampuni ya IPTL.
|