Utafiti wa magonjwa ya
Binadamu
30/10/2009

Makamu wa Rais wa Tanzania Dk. Ali Mohamed
Shein, akiangalia utafiti wa magonjwa ya Binadamu kwa kutumia darubini
wakati alipotembelea kwenye Ofisi za taasisi ya Taifa ya Utafiti wa
magonjwa ya Binadamu (NIMR) zilizopo katika mtaa wa Luthuli jijini Dar
es Salaam hivi karibuni. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na
Ustawi wa Jamii, Blandina Nyoni.
|