Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Jiji la Dar es Salaam lazindua jeshi la sheria za jiji kwa Wakazi

03/11/2009

Kikosi maalumu cha Jeshi la jiji la Dar es Salaam kikifanya gwaride la uzinduzi mchana huu na linaanza kazi mara moja. Hivyo wanaokojoa ovyo, ama kutupa taka barabarani na kufanya biashara kiholela watakabiliwa na faini ya hapo hapo ya shilingi 50,000/- ukishindwa unapelekwa kwa Pilato halafu Lupango. Hii ni moja ya kuendeleza jiji kuwa kivutio kwa wafanyabiashara, wawekezaji, watalii na kwa wakazi wenyewe wa jiji la Dar es Salaam.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©