Rais Karume akutana na
Maalim Seif
06/11/2009

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mh. Amani Abeid Karume, akimlaki Katibu Mkuu wa CUF Maalim
Seif Shariff Hamad alipowasili Ikulu ya Visiwani katika ziara ya
kihistoria kwani toka Mh. Karume, Maalim hajawahi fika Ikulu kwa
mazungumzo rasmi isipokuwa katika dhifa za kitaifa na sherehe zingine.
Kulia ni Mh. Ismail Jussa, Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
kimataifa wa CUF. Picha na Ramadhani Othman Ikulu/Zanzibar.
|