KOMBE la Barclays Premier
League limetua Tanzania
07/11/2009

Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT)
Kanali Mstaafu, Iddi Kipingu (kushoto) na Mmoja wa Walinzi wa Kombe la
Ligi Kuu ya Uingereza, Keith Russel wakiwa wameshikilia kombe hilo baada
ya kuwasili Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dar es Salaam kwa ziara
maalum ya kuhamasisha michezo nchini.

Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Idd Kipingu (kushoto) na
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Tanzania, Rished Bade,
wakilinyanyua juu Kombe la Ligi Kuu ya Uingereza la Barclays Premier
League lilipotembelea Tanzania, pichani likiwa katika mkutano na
waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
|