Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Eddy Raza aonesha usanii wake London

11/11/2009

Mwenyekiti wa Zenjydar Community Association bwana Saleh Jaber (kulia) akiwa katika maonesho ya Arts akimpa tafu Mbongo mwenzake kwenye fani ya uchoraji bwana Eddy Raza (shoto) ambaye mwakani anachukua nondo kwenye fani ya uchoraji kwenye chuo kikuu cha uchoraji mjini London. Katikati ni mgeni wa heshima katika maonesho hayo, bwana Tim Allen wa kutoka chuo kikuu cha uchoraji mjini London.

Eddy amenaswa akiwa anachukua picha ya moja ya kazi zake alizozileta katika maonesho hayo ambayo yalifanywa kwa kushirikiana na wanafunzi wenzake watatu kutoka chuo kikuu cha uchoraji jijini London.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©