Msaada wa vyandarua vyenye
dawa
13/11/2009

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Dk. Asha-Rose Migiro akipiga danadana mbele ya mtoto Charles Ssali (12)
toka Uganda ambaye ni Balozi maalum wa Muungano dhidi ya Malaria (United
Against Malaria) mtoto huyo alipomtembelea makao makuu ya Umoja wa
Mataifa, jijini New York. Wengine ni Bw. Robert Skinner kutoka taasisi
ya Umoja wa Mataifa na Bw. Herve Verhyoosel kutoka Ushirikiano wa
Kutokomeza Malaria ( Roll Back Malaria Partnership).

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,
Dk. Asha-Rose Migiro, akiwa ameshika chandaru pamoja na mtoto Charles
Ssali ambaye ni Balozi maalum wa kampeni dhidi ya ugonjwa huo na maafisa
toka taasisi ya Umoja wa Mataifa ya Ushirikiano wa Kutokomeza Malaria
(Roll Back Malaria Partnership).
|