Balozi mpya wa Rwanda
akabidhi hati za utambulisho
16/11/2009

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi
mpya wa Rwanda nchini Tanzania, Mheshimiwa Fatuma Ndangiza Nyirakobwa,
na baadaye Rais Kikwete alifanya mazungumzo ya maendeleo ya nchi mbili
hizo na Balozi huyo, ikulu jijini Dar es Salaam.
|