Mualiko wa Mo Ibrahim
Foundation
17/11/2009

Kaka Michuzi (kulia) akipozi na Zainab
Badawy, mtangazaji mwandamizi wa BBC kwenye mualiko maalum wa kongamano
la Mo Ibrahim Foundation uliofanyika jijini Dar es Salaam katika ukumbi
wa Mlimani City Conference Centre. Mo Ibrahim ni mfanyabiashara mkubwa
duniani na ndiye anamiliki kampuni ya teknolojia ya mawasiliano ya ZAIN.
|