Vodacom yatoa milioni 25/-
Zenj - Mapinduzi Cup
21/11/2009

Mkurugenzi masoko wa
Vodacom Tanzania, Ephraim Mafuru (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya
Sh. milioni 25 kwa naibu waziri kiongozi na waziri wa habari utamaduni
na michezo wa Zanzibar Mh. Ali Juma Shamhuna kwa ajili ya udhamini wao
wa kombe la Mapinduzi kwenye sherehe iliyofanyika kwenye hoteli ya
Zanzibar ocean view.

Mkurugenzi Masoko wa
Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru akiongea katika hafla hiyo ya kukabidhi
hundi ya Shilingi milioni 25 kwa ajili ya kombe la Mapinduzi.

Naibu waziri kiongozi na
waziri wa habari utamaduni na michezo Zanzibar, Mh. Ali Juma Shamhuna
akiongea kwenye hafla ya kupokea hundi ya Sh. milioni 25 udhamini wa
Vodacom Tanzania kwa kombe la mapinduzi 2010. Hafla ilifanyika kwenye
hoteli ya Zanzibar ocean view.
|