Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Mjadala wa soko la pamoja Afrika Mashariki

22/11/2009

Viongozi wa kuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Toka shoto ni Marais Yoweri Museveni wa Uganda, Mwai Kibaki wa Kenya, Paul Kagame wa Rwanda, Jakaya Kikwete wa Tanzania na Pierre Nkurunzinza wa Burundi.

Ijumaa ilopita Jumuiya ya Afrika Mashariki ilitimiza miaka 10 ya uhai wake na viongozi wakuu watano wote walikuwa jijini Arusha katika hitimisho la sherehe hizo zilizoambatana na utiwaji saini makubaliano ya kuwa na soko la pamoja na pia kuwekwa kwa jiwe la msingi la makao makuu ya jumuiya hiyo yanayojengwa jijini humo.

Si vibaya kujadili umuhimu wa tukio hilo la kihistoria la kuwa na soko la pamoja kwa nchi hizo tano utaoanza kutumika rasmi Januari 1, 2010, hatua ambayo itafuatia kuwa na sarafu ya pamoja na, endapo pande zote zitakubaliana, hatimaye shirikisho la Afrika Mashariki.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©