Bangi yakamatwa Tarime
25/11/2009

Mkoa wa kipolisi wa Tarime/Rorya
umefanikiwa kunasa nusu tani ya bangi iliyoandaliwa vyema tayari kuvuka
mipaka kuingia Kenya. Kamanda wa mkoa huo wa kipolisi Constantine
Massawe alisema walifanikiwa kunasa bangi hiyo baada ya kutonywa na
msamaria mwema. Pichani kamanda huyo wa mkoa maalumu wa Kipolisi
akionyesha mabunda ya bangi iliyokamatwa wakati akizungumza na waandishi
wa habari.
|