Ziara ya Kikwete Jamaica
26/11/2009

Rais Jakaya Kikwete na waziri mkuu wa
Jamaica Bruce Golding wakisaini makubaliano ya ushirikiano yaliyofikiwa
baina ya serikali ya Tanzania na Jamaica katika siku ya mwisho ya ziara
ya siku nne ya kiserikali ya Rais Kikwete nchini humo.

Rais Jakaya Kikwete na waziri mkuu wa
Jamaica mheshimiwa Bruce Golding wakibadilishana hati baada ya kusaini
makubaliano ya ushirikiano yaliyofikiwa baina ya serikali ya Tanzania na
Jamaica.
|