Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Benki ya NMB yafungua tawi Zanzibar

30/11/2009

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi, Dk. Amani Abeid Karume akiondoa kipaizia kuashiria kufunguliwa tawi la Benki ya NMB Zanzibar, mtaa wa Darajani. Kushoto kwa Rais ni Mtendaji Mkuu wa NMB Benn Christiaanse.

Rais wa Zanzibar, Dk. Amani Abeid Karume akikata utepe kufungua rasmi tawi la Benki ya NMB Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Amani Abeid Karume akimkabidhi mpira mwanafunzi wa skuli ya Kajificheni, Yunus Ramadhan, kwa niaba ya wanafunzi wa mkoa wa mjini katika sherehe za kuzindua tawi la Benki ya NMB.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Amani Abeid Karume akipokea hundi ya 12m/- kama msaada kwa Jamii ya Zanzibar toka Benki ya NMB.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©