Air Tanzania yazindua
safari za Arusha
04/12/2009

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh.
Isidore Shirima (pili shoto) akiwa na Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Felix
Mrema pamoja na Mkurugenzi wa Masoko wa ATC Thomson Byarushengo (wa pili
kulia) na Meneja wa ATC kanda ya kaskazini Josephat Kagirwa (kulia)
wakifurahia wakati ndege aina ya Dash-8 yenye uwezo wa kubeba abiria 50
kutua kwa mara ya kwanza katika uwanja wa Arusha.

Dash-8 ya ATC ikiwasili
uwanja wa Arusha katika safari yake ya kwanza ya kuzindua tripu za DAR-ARUSHA-ZNZ-DAR
zitazokuwa kutwa mara mbili kila siku.
|