Utandazaji waya za umeme
Pemba
07/12/2009

Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani abeid Karume akiangalia waya
maalum wa kusambazia Umeme utaopita chini ya bahari kutoka Tanga hadi
Pemba, kazi inayofanywa na meli maalum ya Nexans Skagerrak kutoka
Norway.

|