Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Marcio Maximo ajadiliwe

12/12/2009

Kocha wa Taifa Stars Marcio Maximo yuko katika lala salama ya mkataba wake na hivi sasa anaifundisha timu ya bara Kilimanjaro Stars kwenye michuano ya chalenji ambapo baada ya kutolewa na Rwanda kwenye nusu fainali itapambana na ndugu zao Zanzibar Stars kuwania nafasi ya tatu. Je, huu ni wakati Maximo afunge mkwiji aingie uwanjani, au afunge virago arejee Brazil?

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©